Wanawake wa UWT watakiwa kubeba ajenda ya kukabiliana na ukatili wa Kijinsia na Watoto

 Na Barnabas kisengi Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa viongozi hususani wanawake kubeba ajenda ya kukabiliana na ukatili wa kijinsia na watoto kwenye vikao vyote kuanzia kwenye maeneo yao. Waziri Dkt. Gwajima ametoa wito huo alipokuwa akiwasilisha mada ya mapambano ya ukatili dhidi